Kuhusu
102.5 Lake FM

Karibu Lake FM, redio namba moja kwa wananzengo wa Mwanza. Kituo hiki pendwa kilianza kuruka hewani mwaka 2016. Kinarusha matangazo yake kupitia masafa ya 102.5 MhZ. Lake FM ina vipindi bomba kama vile Barazani, MshikeMshike, Kokoriko, Uwanjani na Mdundo Bando. Ukiwa jijini Mwanza na maeneo ya karibu sikiliza 102.5 Lake FM, Raha ya Rock City. kwa vipindi bomba vya habari, kijamii, michezo na burudani.

Kuhusu Sisi
Wafikie wateja wako wengi zaidi kwa kutangaza nasi.

Vipindi Vyetu!

102.5 Lake FM inarusha matangazo yake saa ishirini na nne, siku saba za wiki. Hivi ni vipindi vyetu vya kila siku. Enjoy!

"Drive home show" kipindi kinajikita katika kutoa taarifa mbalimbali zilizotokea siku husika ndani na nje ya nchi.
Barazani
JUMATATU-IJUMAA 16-19PM
Kipindi kinachowalenga zaidi kinamama,kikielimisha na kuburudisha.Kikiongelea kuhusu mapishi,mitindo(fashion).
MSHIKE MSHIKE
JUMATATU-IJUMAA 13-16 PM
Kipindi cha asubuhi chenye maudhui ya kuhabarisha, kuburudisha na kuelimisha kikijikita katika matukio mbalimbali ya kitaifa na kimataifa.
KOKORIKO
JUMATATU-IJUMAA 06-09 AM.
Kipindi cha michezo na burudani kikisheheni taarifa mbalimbali za kimichezo na burudani zilizojiri au zinazotegemea kujiri ndani na nje ya nchi.
Uwanjani
JUMATATU-IJUMAA 09-10AM
Kipindi cha burudani(hasa kwa vijana). Licha ya kuwa na habari nyingi za wanamuziki wa ndani na nje ya nchi pia kina mahojiano na watu maarufu.
Mdundo Bando
JUMATATU-IJUMAA 10-13 PM

Tusipokuwa Studio!

Tusipokuwa studio huwa tuna 'enjoy' maisha. Endelea kusikiliza 102.5 kupata nafasi ya ku hang out nasi pamoja na wanamuziki mbalimbali.

Tazama Zaidi

Mapichapicha

Mapumzikoni pembeni ya ziwa letu pendwa. Kama jina letu lilivyo, Lake FM basi si mbaya kufurahia ziwa Victoria na vivutio vingine. Endelea kusikiliza Lake FM, unaweza kuhang out nasi next time.

Tazama Zaidi