Kuhusu Sisi

Karibu Lake FM, redio namba moja kwa wananzengo wa Mwanza. Kituo hiki pendwa kilianza kuruka hewani mwaka 2016. Kinarusha matangazo yake kupitia masafa ya 102.5 MhZ.

Lake FM ina vipindi bomba kama vile Barazani, MshikeMshike, Kokoriko, Uwanjani na Mdundo Bando. Ukiwa jijini Mwanza na maeneo ya karibu sikiliza 102.5 Lake FM, Raha ya Rock City. kwa vipindi bomba vya habari, kijamii, michezo na burudani.

Tangaza Nasi

Wasiliana nasi tuisaidie kampuni au shirika mlangoni kwa wateja wako. Tangaza nasi kuwafikia wakazi wengi zaidi wa Mwanza.