Makontena ya Makonda yapigwa mnada

Posted by admin In: Uncategorized No comments

Makontena ambayo yaliingizwa Tanzania kwa jina la mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ,Jana yalipigwa mnada hata hivyo wananunuzi walishindana bei wakidai bei imekuwa juu zaidi

Makonda ambaye yupo jijini mwanza kwenye msiba alipotafutwa kuzungumzia hatua hiyo alisema

“Yeye ni mlima hayumbishwi na pia aliwataka walimu kuwa kama mlima Sayuni ambao hauwezi kuyumbishwa na kitu chochote”

Kauli ya kutoyumbishwa na mtu yoyote inaonyesha Makonda hakubaliani namna viongozi wa serikali wenzake wanavyohujumu bidii yake ya kuuletea maendeleo mkoa wa Dar es salaam, hata kama wanauza hizo kontena hayumbishwi katika harakati zake za maendeleo ya mkoa

0 Likes

Comments: 0

There are not comments on this post yet. Be the first one!

Leave a comment